Zaburi — Sura 117

← Rudi kwenye kitabu
1. Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini.
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.
◀ Sura iliyotangulia Sura inayofuata ▶